Kufuta akaunti ya Seist
Unaweza kufuta akaunti yako wakati wowote, ukiwa kwenye app au kwenye website.
Kwenye app
- Fungua app ya Seist na uingie kwenye akaunti yako.
- Nenda Mimi → Mipangilio → Futa akaunti.
- Weka password yako, andika FUTA, kisha bonyeza Futa akaunti yangu.
Kwenye website
Kinachofutwa
Akaunti yako, namba ya simu, picha ya wasifu, matangazo yako yote (pamoja na picha na video), chats na ujumbe, vipendwa, wafuasi, alerts, taarifa, vifaa vilivyoingia, na ratings ulizowapa wengine. Data inafutwa papo hapo na haiwezi kurudishwa.
Kumbukumbu fupi ya usalama (tarehe ya kufuta na sehemu ya namba ya simu iliyofichwa) inaweza kubaki kwenye audit log kwa hadi miezi 12 kwa ajili ya kuzuia udanganyifu. Akaunti iliyosimamishwa inaweza kufutwa baada ya muda wa kusimamishwa kuisha.
Huwezi kuingia? Wasiliana na msaada wa Seist kupitia namba iliyo kwenye website, ukitumia namba ya simu ya akaunti hiyo.
Deleting your Seist account
You can delete your account at any time, from the app or the website.
In the app
- Open the Seist app and log in.
- Go to Me → Settings → Delete account.
- Enter your password, type DELETE, then tap Delete my account.
On the website
Log in and delete your account
What is deleted
Your account, phone number, profile photo, all your listings (including photos and videos), chats and messages, favorites, followers, alerts, notifications, logged-in devices, and ratings you gave others. Data is deleted immediately and cannot be recovered.
A short security record (deletion date and a partly hidden phone number) may be kept in the audit log for up to 12 months to prevent fraud. A suspended account can be deleted once the suspension ends.
Cannot log in? Contact Seist support using the number on the website, from the phone number of that account.
