Seist

Sera ya faragha

Inatumika kwa website ya Seist na app ya Seist (Android/iOS).

Data tunayokusanya

Tunavyoitumia

Hatuuzi data yako na hatuonyeshi matangazo ya biashara ya makampuni mengine. Namba yako ya simu haionyeshwi kwa watumiaji wengine.

Tunaoshirikiana nao

Muda wa kuhifadhi

Data inahifadhiwa mpaka ufute akaunti. Taarifa (notifications) zinafutwa baada ya siku 90. Kumbukumbu za usalama zinafutwa baada ya miezi 12.

Haki zako

Unaweza kuhariri wasifu wako, kufuta matangazo, na kufuta akaunti yako yote wakati wowote kutoka kwenye app au website.

Watoto

Seist ni kwa watu wenye umri wa miaka 18 au zaidi.

Mawasiliano

Kwa maswali kuhusu faragha, wasiliana na msaada wa Seist kupitia namba iliyo kwenye website.


Privacy policy

Applies to the Seist website and the Seist app (Android/iOS).

Data we collect

How we use it

We do not sell your data and we do not show third-party ads. Your phone number is not shown to other users.

Who we share with

Retention

Data is kept until you delete your account. Notifications are deleted after 90 days. Security logs are deleted after 12 months.

Your rights

You can edit your profile, delete listings, and delete your whole account at any time from the app or website.

Children

Seist is for people aged 18 or older.

Contact

For privacy questions, contact Seist support using the number on the website.